ANDIKA INSHA JUU YA SHULE YAKO: Mimi ni Owily Moses mtoto wa - TopicsExpress



          

ANDIKA INSHA JUU YA SHULE YAKO: Mimi ni Owily Moses mtoto wa Okinyo nasoma Wagwe Primari. Shule yangu ni Wagwe ako karibu na hospitalini.Hiyo hospitalini anaitwa Wagwe hospitalini.Hiyo sule inafanana na kanisa.Ako na kiwanja mkubwa kama nyati.Hiyo shule ana maswali mingi kama ya polisi.Shule yangu ana chagua na profesa Alfred Ombugu kama una taka kukua profesa soma kwa sule yangu mzuri sana. Watu wanasoma hapo ni watoto alfu tatu na hisirini.Watoto wana soma hapo kwa bidii kwa sababu niko na pesa na maswali mengi kama polisi..Walimu wana fundisha wanafunzi ya Wagwe ni Bwana Ombudu,Ombuti,Okwete na walimu wote.Hapa walimu wana penda walimu sana. Hiyo sule wame jengwa 1978.Profesa Ajo amesoma hapo.Kwa sababu hii sule iko na mawali mingi kwa nini wewe hutaki kusoma Wagwe primari.Wagwe ni mzuri kwa sababu inafana na nyati mkubwa sio mdogo kama sungura.Wagwe sio mjanja kama sungura. Asante sana mwalimu nipatie maksi mingi.
Posted on: Thu, 15 Aug 2013 16:20:53 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015