Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika ni heri mwanaume - TopicsExpress



          

Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika ni heri mwanaume asimguse mwanamke,Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe,na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe,Mume na ampe mkewe haki yake,na vivyo mke ampe mumewe haki yake,Msinyimane isippokua mmepatana kwa muda ili mpate faragha kwa kusali,mkajiane tena,shetani asije akawajaribu kwa kutokua na kiasi kwenu,1 WAKORITHO 7:1>5
Posted on: Sat, 10 Aug 2013 06:15:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015