Hahahaaaaa ndoto nazo acha tu, nimeota mimi ni Rais wa nchi ya - TopicsExpress



          

Hahahaaaaa ndoto nazo acha tu, nimeota mimi ni Rais wa nchi ya kusadikika aisee, ghafla zikatokea vurugu kwenye bunge langu aisee, WABONGE WANADUNDANA HAOOO BALAA, nikachukia, nikaghafirika, nikacharuka, NIKATIMUA WOTE WOTE aisee, ndiyo WABONGE WOTE, kuanzia SUPU PIKA, NAIBU SUPU PIKA, WABONGE WA CHAMA TAWALA NA WALE WA UPINZANI NIKAFUKUZA, MAWAZIRI WALIOKUWEMO NA MWANASHERIA MKUU NIKATIMUA TIMUA, lengo langu ilikuwa kuanzisha nchi ya ahadi, nikaanza kuimba naaaaatamani nchi mpyaaaaaaaa. Ndoto zikakatika nikajikuta mimi sio Rais, halafu niko Tz na maisha yanaendelea as if nothing has happened. Nikampigia rafiki yangu mmoja kumuuliza kama na posho za jana wamechukua akasema NDIYOOOOOOOOOOOOOO. I DEEPLY LOVE YOU TANZANIA.
Posted on: Fri, 06 Sep 2013 12:36:38 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015