Hivi tanzania Obama mbona natudhalilisha sana who is he? is he the - TopicsExpress



          

Hivi tanzania Obama mbona natudhalilisha sana who is he? is he the God? kero mtaani hadi basi, kila kitu wanfanya wao, ndge waongoze wao,TMA wao, ulinzi wao, waalikwa wao,wakuonanna na Obama wao, eevrything hivi Mtu akija NYUMBANI kwako ankupangia kila kitu!!!NOooooo, mlimlazimisha kuja!!! hata kama mlimlazimisha mie naona ankuja KUTUNYONYA ubepari ni FAIDA hakuna kupoteza hakuna UTU ni UNYAMA tu,ila hiki "CHAMA CHA MALIMBUKENI"(CCM) wanjiabisha kweli kwahiyo leo Washington ikisema tunakuja kuteka yanakubali, kama hawawaamini si waende kwenye nchi yao ili wawe huru!!!!!!, Mbona Clinton na Bush walikuja hakukuwa na kutokuaminiana kiasi hiki.ILA nahisi kwa Siri.kali hi ya hb kushindwa kukamatwa watuhumiwa waliopiga risasi padri Mkenda, waliomuua padri Mushi,mhusika wa bomu la kanisani Olasiti Arusha, kushindwa kumkamata mhusika kwenye bomu la mkutano wa CHADEMA, pia kushindwa kuwakamata walioua Mwangosi na watesaji wa KIBANDA na Dr.ULIMBOKA inaweza kuwa sababu ya KUTOKUTUAMINI ni haki yao, kama umeshindwa kuwalinda raia wako(Watanzania) Je?mtaweza kumlinda Rais wao? wana hoja ngoja tuone.......... ila hata ka hivyo wamezidisha!!!!!!!! find nytimes
Posted on: Mon, 01 Jul 2013 08:51:10 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015