Jumapili, 18 Agosti 2013 Udugu wa Kiislamu wapanga maandamano - TopicsExpress



          

Jumapili, 18 Agosti 2013 Udugu wa Kiislamu wapanga maandamano zaidi Waandamanaji watakusanyika karibu na mahakama ya katiba kusini mwa mji wa Cairo. Waungaji mkono wa rais aliyeondolewa madarakani Mohammed Mursi wanapanga kufanya maandamano mengine mjini Cairo leo Jumapili(18.08.2013), na kuongeza hofu ya umwagikaji zaidi wa damu baada ya mamia ya watu kuuwawa,, KWA UKUBWA WA HABARI CLICK HAPA mussashimba.blogspot/2013/08/udugu-wa-kiislamu-wapanga-maandamano.html#links
Posted on: Sun, 18 Aug 2013 15:43:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015