Mdada kutukanana na mwanamke mwenzio kwa ajili katembea na mumeo, - TopicsExpress



          

Mdada kutukanana na mwanamke mwenzio kwa ajili katembea na mumeo, mchumba wako au kiboy friend chako ni ushamba na kujivua utu wako bureeee na kitaani watajua we mwehu ulipendwa kimakosa, jiamini kuwa yule kapita tu nawe ndo mmiliki halali bhana, siwezi kusanya mtaa kwa ajili ya kujishushia heshima niliyoitengeneza toka nakua ha ha ha kama uko nae jilie kwa wakati wako sina time ya kujilipua ni hayo tu kwaleo
Posted on: Sat, 13 Jul 2013 16:43:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015