Mimi ndio hujua kufunza madem wana kiere ere mingi. Leo nimeingia - TopicsExpress



          

Mimi ndio hujua kufunza madem wana kiere ere mingi. Leo nimeingia kwa lift K.I.C.C alafu kadem kakaingia sa tukawa wawili kwa lift alafu kadem kamepiga perfume excess na kinaniuliza, "UNASKIAJE HIYO PERFUME, IKO JUU? NILINUNUA 2500/= NAIVAS". Sikumjibu! Kufika 2nd floor, beste ake dem anaingia kwa lift pia ka amepiga perfume excess kama ya kuibwa. Alafu hako kadem ka pili kanaanza kuringa, "UNASKIA HII PERFUME YANGU, NILINUNUA 3,500/= GHANA NIKIWA TRIP". Sikusema kitu coz waliniudhi mbaya. Ikabidi nishuke 4th floor coz hao wanafanya job 30th floor. Mi kabla nitoke nikainama nikawatolea mshuto kali nikawaambia, "MUNASKIAJE HARUFU YA HAKO KAMSHUTO?? HAKO NI KA GIDHERI YA 20/= TU KWA HOTELI YA MABATI"
Posted on: Fri, 28 Jun 2013 18:09:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015