Nakukumbusha ktk Maisha Ishi kwa Amani, Amua kwa Busara, Fikiri - TopicsExpress



          

Nakukumbusha ktk Maisha Ishi kwa Amani, Amua kwa Busara, Fikiri kwa Kina, Tenda kwa Hekima, Penda kwa Dhati, Omba kwa Imani, Hubiri kwa Matendo, Ongea kwa Nidhamu, Tii kwa Unyenyekevu, Abudu kwa Roho na kweli, Enenda kwa Roho, Tenda kwa wakati, Tambua uwepo wako, Jitathmini Umetoka wapi Uko wapi Unaenda wapi Kiroho,Kimwili na Kimaendeleo, zaidi ya yote Jiheshimu,Jitunze,Jiamini,Jitafakari kwani vyote vinatokana na jinsi wewe ulivyo. Mungu naye yuko pamoja nawe. Nakutakia asubuh njema!
Posted on: Thu, 07 Nov 2013 03:31:08 +0000

Trending Topics




© 2015