One anonymous die hard Dongerian who has always since day one been - TopicsExpress



          

One anonymous die hard Dongerian who has always since day one been a very generous donor towards Donges affairs and has today pledged to donate fifty thousand shillings 50,000/- towards Ahmed Faris - the two month old baby boy,with a heart problem. Courtesy to Malindi- Toa Donge Lako group who are facilitating for the childs heart operation. Please join hands with me to pray for this donor. A person with a big heart full of kindness. May Allah protect this person. Mungu amlinde yeye na ailinde family yake Amlinde na kila mabaya Amlinde na husda na maudhiko. Amtimizie haja zake za kheri nae hapa duniani na kesho akhera. Mungu amzidishiye pato la kheri na azidi kumpa moyo huo huo wa kujitoleya kwani kutoa si pesa kutoa ni moyo. Mungu amstiri duniani na akhera. Pia Mola awajazi kheri watu wa Donge Malindi na awainuwe kwenye miradi yao. Mola amjaaliye Ahmed Faris apate matibabu yake apowe awe mzima kwa Uwezo wake yeye Subhanahu wa Taala. na kila mwenye maradhi Mola amfanyie sahali na ampe shifaa. Kila alokosa pesa za kulipa mabili ya spitali Mola amtolee ndia ya kheri na halali. Na la mwisho Mola tubariki sote wanadonge. Ameeen .
Posted on: Sun, 08 Jun 2014 13:09:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015