SINA MUDA WA KUMJIBU RAIS KIKWETE...NASUBIRI MUDA MWAFAKA WA - TopicsExpress



          

SINA MUDA WA KUMJIBU RAIS KIKWETE...NASUBIRI MUDA MWAFAKA WA KUMUONESHA MIMI NI NANI" PAUL KAGAME Nikiwa katika upekuzi wangu, nimeshtushwa sana na kauli za KIHUNI za Rais Paul Kagame dhidi ya Rais wetu Kikwete na nchi yetu kwa ujumla.... Rais Kikwete ameepuka malumbano na Kagame kwa kukaa kimya , lakini inaelekea Kagame anadhani ukimya wa Kikwete ni uoga kwake au labda anatafsiri kuwa anadharauliwa..... Nadhani huu ni wakati mwafaka kwetu sisi watanzania kuungana na kumuunga mkono rais wetu juu ya huu UPUMBAVU wa Kagame.... Kagame ni lazima atambue kwamba watanzania tupo tayari kuilinda nchi yetu kwa gharama yoyote na kamwe hatuwezi kuwa VIBARKA wa Rwanda... Ifuatayo ni Kauli ya Kihuni aliyoitoa Rais Kagame Kwa Taifa letu: ------------------------------------------------------------- .....“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”“ It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”“, sponsored by his wife, Janet Kagame. Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”. The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region.... source..I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, Rwandan General Paul Kagame Threatens Tanzanian Jakaya Kikwete UDAKU
Posted on: Thu, 11 Jul 2013 13:33:04 +0000

Trending Topics




© 2015