Team Kulambazi FM Mambo mengne humu n ya kis*ng* sana. Mtoto wa - TopicsExpress



          

Team Kulambazi FM Mambo mengne humu n ya kis*ng* sana. Mtoto wa kiume ana tengneza akaunti ya kidada alaf ana Jiita kama PRINCE LIKER bhas AMINA WA PRINCE LIKER alaf ana anza ku weka photo za huyo AMINA mpka watu waki zoea hyo akaunt ana anza ku upload picha zake mwenyewe binafc alaf ana andik MUME WANGU,BABA WATOTO,ONE AND ONLY,MY NUMBER ONE teteteh sasa hii ndo maana yake nini ? N ujanja ama ndo udomo mawe miksa kokoto na simenti aka ZEGE ? Mchzi bdilika kama upo hvyo hzo sio habari ujue TEAM KULAMBAZIA
Posted on: Sat, 19 Oct 2013 14:03:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015