ZILE MISTAKES WASICHANA HUFANYA 1. Kuamini ati - TopicsExpress



          

ZILE MISTAKES WASICHANA HUFANYA 1. Kuamini ati jamaa atakubadilisha.Wacha nikuambie nugu ni nugu. Hauwezi geuza nugu ikuwe mende. 2. Kujikaza unapenda chali na chali mwenyewe hakufikiriangi ata kidogo. Infact akikuona anaona vyombo chafu. 3. Kujifanya HARD to get saaan... Hadi unaanza kuzeeka na unasahau menopause inakaribia! 4. Unakubali unaingia box ya nugu halafu good boys unawaweka kwa "friend zone" 5. Kudhani kila mwanaume ni kama Ex wako. Acha nikuambie wanaume ni different and wise gals dont choose the same man all the time, wise men go for the different man. 6. Kunyoa nywele zako za eyebrows halafu unachukua ile pencil inakaa makaa ya Taita Taveta unajichora nayo ni kama una advertize NIKE sports. 7. Unakubalia jamaa anakuhurt mara mingi by kumkubalia all the time amekukosea. Wewe hauna shida, ni hiyo nugu iko na shida. 8. Madem kupuuza hii advice halafu wanaperfect mistakes zenye nimetaja hapa.
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 11:49:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015