enyewe madame wa Kenya ni wanoma!dame flani tunatoka date na yy - TopicsExpress



          

enyewe madame wa Kenya ni wanoma!dame flani tunatoka date na yy sku ingine,kupitia kwa chochoro tukapatana na machokosh wameshika mavi."toa simu ama nkupake hii!"..dame aliwasho wangoje kiasi, akainamilia akavua high heels akazibeba na mikono,kutoka unyoya nayo!nkawachwa hapo solo bt mi ni nani!kwani nlipewa miguu za nn!Usain Bolt nayo nayo!alafu hao machokosh walikua wajinga sana!yaani badala watuwache tu walianza kutukimbiza kutoka tao hadi Ngara.iyo day ndo nlijua machokosh ata wakitembea wakistagger juu ya kuvuta glue a.k.a biere,ikikam ni kukimbiza watu,utadhani wako olympics.nway msupa sikuweza kumfikia,nlimpata kejani alafu ananiuliza nmechelewa wapi nkt madame achangeni za ovyo saa zingine.yaani saa ya shida unatoroka unawacha chali hapo!??? O.m.g Gichy
Posted on: Sun, 01 Sep 2013 13:09:15 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015