mie kwa kwenda sijuwi ulaya au dubai labda nipelekwee au niitishwe - TopicsExpress



          

mie kwa kwenda sijuwi ulaya au dubai labda nipelekwee au niitishwe na mtu maana iyo ticket nikheri ningefunguwa busness burundi au kongo ima tanzania nikajiendeleza polepole kivyanguvyangu maana siku hizi hata uko majuu stress ni zilezile kama huna kazi wapo wengi kule wanatamani waje afrika na hata apa afrika wapo wengi wameridhika na maisha wanayoishi NB: aina haja yakuzunguka dunia nzima kutafuta maisha la muhimu popote ulipo usilee mikono chapa kazi rizika acha tamaa na maisha ya haraka apo utaishi maisha boraa
Posted on: Thu, 15 Aug 2013 09:19:44 +0000

© 2015