nimeikuta sehemu hivi sijui nani kaitunga. HEBU TULIONGELEE - TopicsExpress



          

nimeikuta sehemu hivi sijui nani kaitunga. HEBU TULIONGELEE TAIFA. 1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela. 2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma. 3. Taifa ambalo bank haikutafuti we ndo unaihonga ikukopeshe. 4. Taifa ambalo ukifeli unakuwa mtangazaji wa kipindi maalumu kabisa. 5. Taifa mbalo simu kali ni dili hata kama vocha waweka za jero jero. 6. Taifa ambalo unazaliwa umeme shida, unafika miaka 30 hata huna bajeti ya Jenereta/Solar, unailaumu tu TAAnexo! 7. Taifa ambalo warembo washajiona wao ni waomba kusaidiwa daima. 8. Taifa ambalo kila mtu anataka ajue bei ya kitu ulichonunua! 9. Taifa ambalo usipoiba unaonekana fala! 10. Taifa ambalo kila mtu analalamika hana ela. 11.Taifa lenye misitu mingi lakini kuna uhaba wa madawati mashuleni.
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 09:00:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015