Pamoja FM. The Voice of Kibera. Posts - TopicsExpress



          

Posts by Pamoja FM. The Voice of Kibera.



Rubani mmoja na mwanafunzi wa urubani wameangamia mapema leo baada
Rubani mmoja na mwanafunzi wa urubani wameangamia mapema leo baada ya ndege walimokuwa kuanguka na kuteketea ilipokuwa inatoka katika uwanja wa ndege ...
Naibu rais kwa mara nyingine tena amewanasihi walimu wanaogoma
Naibu rais kwa mara nyingine tena amewanasihi walimu wanaogoma kuketi kwenye meza ya mazungumzo na serikali ili kutoa fursa kwa serikali kutekelezwa m...
Klabu ya Arsenal ilirejea kileleni mwa ligi kuu nchini Uingereza
Klabu ya Arsenal ilirejea kileleni mwa ligi kuu nchini Uingereza baada ya kulazimisha sare ya bao moja kwa moja na West Brom ambao waliwakosesha using...
Baraza kuu la chama cha walimu nchini KNUT limeafikia kwa kauli
Baraza kuu la chama cha walimu nchini KNUT limeafikia kwa kauli moja kuwa mgomo wa walimu utaingia juma lake la nne kuanzia jumatatu hii baada ya ja...
Kethi Kilonzo na Philip Kaloki ambao wametangaza azma ya kuwania
Kethi Kilonzo na Philip Kaloki ambao wametangaza azma ya kuwania kiti cha usenete katika kaunti ya Makueni wanatazamiwa kubaini hatma yao hii wakati k...
Mfumo wa uongozi katika taifa hili unafaa kufanyiwa marekebisho
Mfumo wa uongozi katika taifa hili unafaa kufanyiwa marekebisho ili kuepuka hulka ya jamii yenye watu wengi kuongoza kila wakati kunapofanyika kwa uch...
Mahakama kuu ya humu nchini imewaagiza ,maafisa wa polisi
Mahakama kuu ya humu nchini imewaagiza ,maafisa wa polisi kutomkamata wakili Kethi Kilonzo kwa siku kumi na nae ziojazo. Akitoa agizo kufuatia kesi il...
Baraza la makanisa nchini NCCK linaunga mkono kuhairishwa kwa kesi
Baraza la makanisa nchini NCCK linaunga mkono kuhairishwa kwa kesi dhidi ya rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto.Kupitia kwa katibu wake mku...
Naibu rais William Ruto amesema serikali ya Jubilee iko tayari
Naibu rais William Ruto amesema serikali ya Jubilee iko tayari kufanya kazi na wakenya wote bila kuzingatia mirengo yao ya kisiasa ili kufikia lengo l...

Trending Topics




© 2015