unakumbuka ukifanya exam Math alafu: *watu wanatoa ruler but wewe - TopicsExpress



          

unakumbuka ukifanya exam Math alafu: *watu wanatoa ruler but wewe huoni place ina apply *watu wanaitisha extra paper na wewe umemaliza na paper haijafika halfway. *umepewa graph paper na unarudisha ikiwa safi haijachafuka *watu wanachora diagrams na pencil ,wewe hujui nini inachorwa but pia unatoa pencil ndio uache kushtuka. *mnaulizwa nani amemaliza, unaamka unajipata uko solo, unafil aibu hadi unaketi Like If Its True
Posted on: Sun, 14 Jul 2013 09:17:10 +0000

Trending Topics




© 2015