Aki nime lala tangu 3 nika ota ati nimeshinda 1M ya bonyeza - TopicsExpress



          

Aki nime lala tangu 3 nika ota ati nimeshinda 1M ya bonyeza ushinde!! wacha nifurahi na kuambia mabeste vile nitawaangushia ki house party na drinks,warembo,mogoka,weed,condoms etc ati will be on my bill! Sasa nimevaa kale kasuit kangu nangonja bob colly more anikol ndio niendee cheque yangu!! manze naona ni real kabisaa! Wacha simu ipigwe sasa cha ukweli na juu nilikua doze naamka teke teke kureceive!! nkt beste yangu niko na deni yake ya 250 ananikol ati nirudishe hiyo pesa ama anipeleke kwa D.O,!!! nugu ya mtu imeniamsha kwa dream yangu na saa hii ningekua millioner!!!! nkt #ToTo :( :(
Posted on: Thu, 19 Sep 2013 14:41:16 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015