JUMUIYA YA KUHIFADHISHA QUR’AN TUKUFU TANZANIA NA TANZANIA - TopicsExpress



          

JUMUIYA YA KUHIFADHISHA QUR’AN TUKUFU TANZANIA NA TANZANIA MUSLIM HAJJ TRUST. WANAWAKARIBISHA WAISLAM WOTE KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR’AN TUKUFU YA KIMATAIFA. LEO Jumapili , Tarehe 04 Agosti 2013, Saa 3:00 ASUBUHI Ukumbi:Diamond Jubilee Hall. (Waalikwa Wanaume na Wanawake). Kiingilio : BURE Tunawashukuru na kuwatakia Funga Njema yenye Baraka na kukubaliwa Dua zetu ambazo tunazo ziomba , Amiin. KWA HABARI MBALI MBALI TEMBELEA : kkiislamtnz.blogspot/
Posted on: Sun, 04 Aug 2013 03:12:59 +0000

Trending Topics



ss="stbody" style="min-height:30px;">
1866 Prince Wales Petersburg Circassian Body Guard Try to find
If you were born in the ghetto your room for growth is bigger than
Make your Computer Welcome You To use this trick, follow the
“It’s a beat journey between fresh stuff and some classics

Recently Viewed Topics




© 2015