:-* :-* MAMA MWENYE NYUMBA :-* :-* (y) (y) STORY BY #KOBA_THE_BOY - TopicsExpress



          

:-* :-* MAMA MWENYE NYUMBA :-* :-* (y) (y) STORY BY #KOBA_THE_BOY (y) (y)... Yamkini ndugu msomaji ulishawahi kuishi au unaishi maisha ya kupanga mpaka sasa Either ukiwa unatafuta maisha, unasoma au hata katika mambo mengne ya kimaisha Utakuwa unajua vyema tabia za wapangaji, wapangishaji, na vitu vingne kama hivyo. Stori hii ni kama mkasa wa kijana #STIKO ambaye ndiye Storyteller wetu katika story hii ya MAMA MWENYE NYUMBA Aliamua kuukumbusha umati kupitia namna mbalimbali kama ya story hii ili apate mawazo au mchango wa kimawazo.. STIKO YEYE NI MKAZI WA SHINYANGA WILAYANI SHINYANGA MJINI LAKINI AMEKUWA AKIISHI IRINGA KWA MUDA KWANI YEYE NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA RUCO TAWI LA ....SAUT.... IRINGA TAFADHARI WEWE KAMA MSOMAJI WA STORY NA UNGEPENDA KUJUA YANAYOTOKEA NA YANAYOWEZA KUTOKEA KATIKA JAMII BASI FUATILI KISA HIKI CHA KUSISIMUA... +++Itaendelea---->
Posted on: Mon, 02 Dec 2013 03:37:58 +0000

Trending Topics



Enjoyed a lovely day at Patchings Art Festival yesterday, so much

Recently Viewed Topics




© 2015