7bu zinazoleta Ongezeko la watoto wadogo kubeba mimba - TopicsExpress



          

7bu zinazoleta Ongezeko la watoto wadogo kubeba mimba ni: 1.TAMAA.,hii inatokana wasichana wanakuwa na tamaa ya vi2 vya thaman kama simu na kupelekea kudanganywa na kupata mimba. 2.UFUKARA.,hii ni kwa familia ambazo ni maskin ambapo wanaume uwadanganya na wao kuridhia kufanya ngono ili wakapate pesa. 3.USHINDAN.,hii hu7bisha wao kushindana kwa kuwa na wapenz wakiamin kuwa na mpenz wa aina fulan ni heshima kwa wenzao. 4.KUPENDA OFA..weng wao wanapenda ofa za wanaume wakiwa hawajui zinatoka wapi na watoa ofa hao wana malengo gan mwishowe uangukia kwenye mapenz. USHAURI:wasichana wote wakijiamin na kujiona wana thaman mbele ya wanaume na kutambua kuwa hao wanaowadanganya lengo lao ni kuwaharibia maisha basi nadhan watajilinda na kujiheshimu.so suala la mimba za utoton zitaepukika. Asante kwa mada yenu nzuri..EATV 2nawakilisha.
Posted on: Fri, 27 Sep 2013 16:22:36 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015