AINA ZA VITAMBI 1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O. - TopicsExpress



          

AINA ZA VITAMBI 1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto. 2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa. 3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi kinaisha. 4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo. 5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani. 6. Kitambi chako n aina gan?
Posted on: Wed, 14 Aug 2013 12:07:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015