ARSENE WENGER MAHOJIANO BAADA YA MECHI JANA Arsene Wenger: - TopicsExpress



          

ARSENE WENGER MAHOJIANO BAADA YA MECHI JANA Arsene Wenger: Tumepoteza mchezo kwa mpira mrefu wa adhabu(set-piece) ... suluhu ingekua matokeo sahihi EPL sasa wanaingia katika mapumziko ya mechi za kimataifa huku ligi hiyo ikiwa msimamo wake unabana ile mbaya. Uongozi wa Arsenal sasa umekatwa na kua pointi mbili tu kutoka wanaowafukuzia kwa karibu timu ya Liverpool walio nafasi ya pili. Liverpool wafanye nini ili washike nafasi ya kwanza, mechi ya jana Man U walipatia nini, Arsenal nao walikosea nini?
Posted on: Mon, 11 Nov 2013 10:00:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015