Aasalam alaikum w w, Ijuma ya leo imetutiya manjonzi makubwa na ni - TopicsExpress



          

Aasalam alaikum w w, Ijuma ya leo imetutiya manjonzi makubwa na ni musiba kwa UMMMAT Muhammad S.W.W, Wallahi inatisha na inauma sana tumezani kuwa Mwisilam au kubwa na imani ni heri, hiyi ni kweli yametokea hapa nchii Burundi na DUBAI hili jambo lakisheitwani, kuna jama anaishi DUBAI kamwamurisha mwana DADA wa kiisilam mwenye jitikadi kubwa kwakumtisha na mipesa akimwamrisha ajipige picha yuko uchi alafu azimutimiye kwenye whtasapp, kwasababu ya tamaa huyo Dadailimubidi afanye hivyo kama huyu kijana alivyo muomba, kijana kupata tu hizo pica na kuziweka kwenye site tofauti na kuzizagaza live kwa marafiki zake na kwakila mtu, dada huyo alipo ziona basi kijana akakata mawasiliano na huyo dada, binti wa kiisilam amelia na kujielekeza kwa sheikh songoro na mwelezea sheikh ka mwambiya atubiye huyo kijana nae asipo fanya hiyo basi tunajianda kwaajili yake kuombeya Dua yakumuangamiza baada ya siku 3, wallahi kuna waiisilam na zaidi ya makafiri namuombeya asipo tubiya na kumumba huyo dada msamah basi laana ya Allah na adhabu zake ziwe juu yake ameen
Posted on: Sun, 18 Aug 2013 12:30:32 +0000

Trending Topics



lass="stbody" style="min-height:30px;">
Todos nós somos afetado por essa corrupção que rouba os sonhos
2014 its been good and bad, mainly good! I left college and
We are looking for silent auction items for our annual meeting. If
One of the problems is that few actually see the bigger picture

Recently Viewed Topics




© 2015