“Anayetaka kuwa mkuu kati yenu sharti awe mtumishi wa wote;na - TopicsExpress



          

“Anayetaka kuwa mkuu kati yenu sharti awe mtumishi wa wote;na anayetaka kuwa wa kwanza kati yenu sharti awe mtumishi wenu”..Hujambo ndugu yangu. Ni Alhamisi ya mwisho katika mwezi huu wa saba,siku ya Ujirani mwema katika Chariot ya Tafrija za kheri njema.Mimi Mc Judy nimechukua nafasi yangu. Pata nafasi yako ,tangaza kiti chako na uwataje majirani wako,kisha, wachangamshe kwa wimbo,kifungu cha biblia au ujumbe wowote ule. Kiitikio cha Zaburi.Bwana unayo maneno ya uzima wa milele Somo la Injili Mathayo 20:20-28 Kesho ni siku yetu ya kulipua sifa kupitia 21 zilizovuma kama unavyoendelea kuzipendekeza.
Posted on: Thu, 25 Jul 2013 07:52:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015