Artist: Prince Tozie Ft Blue, Ibra Killer & Baghdad Song: My - TopicsExpress



          

Artist: Prince Tozie Ft Blue, Ibra Killer & Baghdad Song: My Number One (lyrics) Studio: Kiumbe Records (Prod. Masoud Composer) VERSE # 1 Prince Tozi One day nipo mi na roll kitaa… Namuona shori mzuri mwenye figure na bambataa… Ana wakaa kama taa na pozi za kisuper star... She xo cute ma beib she is xo Mwwaaaah... Nilitamani kumfata ili nimwambie ukweli... Yani bila penzi lake yani mi nitafeli.. Umeniteka videdly unani drive me creeizz… Njoo unipe mapenzi na sito leta ushenzi... Njoo twende pamoja nami ukamuone mammy... Ndugu na majirani uwe Wangu wa maishani... Ni wewe tu my boo... And I’m into you... I can’t live maa without you (Gal…) Mrefu kama twiga baby unajua kuringa Mi nitakulinda tena ata kwa kinga maa… Mrefu kama twiga baby unajua kuringa Mi nitakulinda tena ata kwa kinga maa… CHORUS: Ibra Killer We ni wangu pekee yangu… Usiniumize mtima gal! Sikia kilio changuuuu… Your ma number one hunae nifahaaaa... x2 VERSE # 2 Mr. Blue Unafaa kua na mimi kuzaa na mimi kukaa na mimi Jiamini uko na mimi mtoto wa mijni Kwanini nikupige chini my Queen… Thamini nikuthamini habibi kuwa na mimi Kuwa madini, kula madini tema ya wafitini… Sijaona penzi kama lako umeona wengi ila mi ndo wako Nakuja kwako, wachaa niwe wako Nipe kiss nipe hug nipe lav baby don’t stop! Haaa! na kwenda speed kwa penzi lako beib show lav! Ma lav najigamba kuwa nawe na jitamba Vicheche milupo washamba Hawana mapenzi wamejawaa na pumba Wanajali mavumba We ndo chaguo langu nikabidhii moyo wako uwe wangu Haa mi ni wako uwe wangu nikabidhi moyo wako uwe wangu CHORUS: Ibra Killer We ni wangu pekee yangu… Usiniumize mtima gal! Sikia kilio changuuuu… Your ma number one hunae nifahaaaa.. x2 VERSE # 3 Baghdad Uko wapi nikufate kama Ray c Nikueleze siri yangu kama Jay Dee Au twende out baby kama Mez b Nimedata na kiuno mi ni sawa tu na Tid True lav iko hapa Sitaki vimadaa vicheche na kwa Mungu na apaa! Kukupata nilitapatapa Ndo Ril for real lav Zaidi tu ya maji tu na papaaa Honey mammy lady samahani Kama na makosa Usinieleze hadharani Niite mi chumbani niweke kitandani Nielezee taratibu ndo itaniingia akilini maaa… CHORUS: Ibra Killer We ni wangu pekee yangu… Usiniumize mtima gal! Sikia kilio changuuuu… Your ma number one hunae nifahaaaa... x2
Posted on: Thu, 24 Oct 2013 07:26:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015