Asante tours hiki unachokifanya si ubinadamu Hatimae baada ya - TopicsExpress



          

Asante tours hiki unachokifanya si ubinadamu Hatimae baada ya TPO(Tanzania Poters Organisation)kuendesha mkakati wa kupigania poters Kilimanjaro waliokuwa wananyanyaswa na kampuni ya Asante Tours sasa mmililiki wa kampuni hiyo ameanza kuwatisha wafanyakazi hao na juzi amemteka mmoja na kumjeruhi vibaya na tayari jalada lipo polisi. Na imethibitika kuwa mmiliki huyo anashirikiana na Naibu waziri wa maliasili na Utalii ambaye amenunua share kwenye kampuni hiyo. Tunaiomba serikali kuingilia kati suala hili
Posted on: Tue, 24 Sep 2013 11:02:44 +0000

Trending Topics



ww.topicsexpress.com/Ive-spent-the-last-30-hours-researching-reading-and-trying-to-topic-10101462850572747">Ive spent the last 30 hours researching, reading and trying to
PERMISSION TO POST ADMINS! ;)) A. CHERRY WHITE-
my final take is here is the deal I will write something about my
This past year i have been through so much, I have made some
It pisses me off how much girls can screw with a guy. I wouldnt
Lets go....No Justice, No Profit. Hit them where it hurts. Earning

Recently Viewed Topics




© 2015