Ati… 1.Ati unabeba guitar coz wewe ni msanii, kwani malaya - TopicsExpress



          

Ati… 1.Ati unabeba guitar coz wewe ni msanii, kwani malaya hubeba kitanda? 2.Ati kuwatch horror movie ni 2k kwani shetani aliact live? 3.Ati kuona daktari ni 1k kwani ametoa nguo? 4.Ati elimu ni ngao kwani twaenda kwa vita? 5.Ati mwisho wa gari ni hapa, kwani ikipita apo inakuwa ndege? 6.Ati gari haina watu kwani dereva na kondakta ni wanyama? 7.Ati pads 1k kwani inakam na drainage system? 8.Ati ovakado ni 50 kwani mbegu yake ni lollipop? 9.Ati kitanda ni 30 k kwani iko na bibi? 10.Ati kitanda ni 30 k kwani iko na bibi? 11.Ati fish ni 2k kwani niile ilimeza yonnah? 12.Ati bride price 3m kwani anakam na mpango wa kando?
Posted on: Fri, 12 Jul 2013 07:43:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015