BOTH......aa Jenereta hutumika pale Umeme ukikatika au Umeme wa - TopicsExpress



          

BOTH......aa Jenereta hutumika pale Umeme ukikatika au Umeme wa TANESCO ukiwa mdogo na hauwezi kutoa power ya kutosha kuendesha vitu vitumiavyo umeme husika... Ukiona Umeme wa Penzi lenu umekatika Tafuta Jenereta..Ukiona Umeme wa Penzi lenu unafifia kuna Option 2...Kupiga TANESCO kuuliza tatizo ni nini au Kuzima Main Switch na kuwasha Jenereta Huwezi kutumia Umeme wa TANESCO na Jenereta kwa Pamoja,lazima kwenye Control Switch kimoja kiwe Off na kingine ON Penzi likifa Solution sio kucheat na kuendelea kubaki na mzoga wa Penzi ukikunukia....Washa Jenereta na uzime Main Switch lasivyo kubali kukaa gizani kwa utulivu na uvumilivu wa kuvumilia Mbu walio active gizani hadi Umeme urudi maana ukitembea gizani utajikwaa kwenye ncha za Stuli... Chagua moja..Tanesco Love au Generator Love..Ila Sio Both... by seth
Posted on: Thu, 22 Aug 2013 09:44:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015