BUNGE LA TANZANIA LIMEJIFUNZA NINI JUU YA MAAMUZI YA BUNGE LA - TopicsExpress



          

BUNGE LA TANZANIA LIMEJIFUNZA NINI JUU YA MAAMUZI YA BUNGE LA WINGEREZA AMBALO LIMEPINGA PENDEKEZA WA LAZIRI MKUU WAO LILILOTAKA KUIVAMIA KIJESHI???????? Mabunge baadhi ya afrika ni ya kipuuzi yenye kutegemea uwingi wao bunge kushawishi mambo ya kipuuzi kufanyika katika mataifa yao...na kutumia kigezo cha wapinza kuwa wachache bungeni kuwa hawatakua na uwezo wakushawishi mambo ya msingi kuchukua nafasi.... .ndio sababu baadhi ya mabungu yameendelea kuidhinisha matumizi ya fedha nyingi kwa rais wao kwenda nchi zingine kufanya utaliii na kuwaacha wananchi wake wakifa njaa na sasa wanatengwa na mataifa yenye akili katika kupigania uchumi..!!!! LAITI KAMA BUNGE LA WINGEREZA LINGELIKUWA KAMA LETU TANZANIA HAKIKA ADHIMIA LAKUIVAMIA SYRIA LINGEPITA NA BAADAE WAFANYAKAZI YAKUJUTIA MAAMUZI YAO YAKISHENZI OVAAAA......
Posted on: Fri, 30 Aug 2013 09:32:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015