BUSTANI. Tumsifu Yesu Kristu popote pale ulipo mwanabustani, - TopicsExpress



          

BUSTANI. Tumsifu Yesu Kristu popote pale ulipo mwanabustani, ni wakati mwingine ambapo tunajumuika katika kipindi chetu Bustani ya Waumini jumatano ya leo 13/11/2013. Nawakaribisha wote kuanzia hivi sasa hadi saa sita juu ya alama na utakuwa nami Monicah wangui. Ikiwa ni siku ambayo huwatwaangazia maswala tunayo kumbana nayo katika maisha ya kila siku kama wakenya. Usiku wa leo tutaangalia swala la ufisadi. Kulingana na utafiti uliofanywa na kutolewa na tume ya maadili na kupambana na ufisadi hapo jana kuna Idara na wizara ambazo zimeorodheshwa kuwa zaongoza zaidi katika ufisadi na idara hizi zimeongoza kwa muda mrefu. Swali ni Je, ninini sisi kama wakenya hatujafanya katika vita dhidi ya ufisadi?
Posted on: Wed, 13 Nov 2013 16:57:45 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015