BUSTANI YA WAUMINI UKIWA NA KB PAMOJA NA METHALI Jinsi gani - TopicsExpress



          

BUSTANI YA WAUMINI UKIWA NA KB PAMOJA NA METHALI Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. Kwa moyo wangu wote nimekufuata, Usiniache nipotee mbali na maagizo yako. Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi (Zaburi 119:9-11). Tumsifu Yesu kristo ikiwa leo ni jumatano ya kujifunza kuhusu Bibilia Bustanini swali ni je, ipo umuhimu wa kujua neno la Mungu katika maisha ya Mkristo halisi? Kwa kusema hivyo kuna umuhimu wa kumjua Yesu na kumshika, kwa maana yeye ndiye Neno la Mungu. Katika Biblia mtume Petro anasema mbele za Yesu kwamba, twende kwa nani na wewe ndiye mwenye maneno ya uzima? Petro alijua upo umuhimu wa kumjua Yesu kama Neno maana ndani ya Neno kuna uzima Mathayo 22:29 inatueleza ya kwamba Watu wengi tunapotea kwa kutokujua uwezo (nguvu) iliyomo katika neno la Mungu. SWALI:Kuna vitabu vingapi katika AGANO JIPYA? Jibu swali letu huku ukituma zako kwa watatu twende kazi………..
Posted on: Wed, 24 Jul 2013 16:03:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015