Baadhi ya watu mnaweza kutuona tumekosa kazi ya kufanya au - TopicsExpress



          

Baadhi ya watu mnaweza kutuona tumekosa kazi ya kufanya au tunawaonea Ipsos-synovate, au kwakuwa tumeachana nao kwa njia mbaya ndio maana tunayaanika maovu yao..., la hasha! hakuna kampuni yoyote ya utafiti hapa Tanzania isiyo na mapungufu, ila hawa Ipsos-Synovate mbali na mapungufu wamesheheni unyanyasaji, ukandamizaji, ukomoaji, mapenzi, dharau, majigambo, kwa wakubwa wakenya dhidi ya watendaji wadogo vijana wa Kitanzania ulipaji wao wa pesa ni wa ngama, visa, vituko, yote haya hupelekea kazi zao kuharibika, maana unalazimishwa ufanye cheating, kwa kuwa sisi ni wazawa ndio maana tunalisemea hili likomeshwe.
Posted on: Tue, 08 Oct 2013 19:34:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015