Basi nasema,enenden kwa roho wa hamtazitimiza tamaa za mwili,kw - TopicsExpress



          

Basi nasema,enenden kwa roho wa hamtazitimiza tamaa za mwili,kw 7bu mwili hutaman ukishndana na roho,bac matendo ya mwili ni uasherat uchaw uadui ugomvi wiv hacira ulaf fitina nk,Lakn mambo roho n u2 wema aman upendo uvumilivu fadhil uaminif nk,haya maneno ni kutoka WAGALATIA 5,16-17,19-22,MUNGU a2pe nguvu ya roho mt.2weze kuyaishi na kuyafuata mafundsho ya daima na milele mbarkiwe xn wana wa MUNGU
Posted on: Sat, 31 Aug 2013 15:37:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015