CHARACTERISTICS ZA DEM LOVING::: 1.Atakuoshea ngotha ama - TopicsExpress



          

CHARACTERISTICS ZA DEM LOVING::: 1.Atakuoshea ngotha ama akushonee zile zimechapa bila shida yoyote. 2.Ukidai ikuss atakupee as long as hanyeshi. 3.Sio lazima umpeleke lunch...atakupeleka pia yeye,,akulipie fare,rent na anakusambaza airtime...NB::not always. 4.Anakupenda such that hawezi penda kuona msee aki mess na wewe na anaweza ngoa madem wengine meno juu yako. 5.Atakushika tightly na kukukiss kwa public bila woga. But wanaume kama huna adabu huwezi pata dem kama huyo...
Posted on: Sat, 14 Sep 2013 19:35:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015