DEMU WA FB!...NoOOma qqwwerr!! Jamaa yangu kaoa anameizi sita - TopicsExpress



          

DEMU WA FB!...NoOOma qqwwerr!! Jamaa yangu kaoa anameizi sita sasa ila analalamika sana eti mkewe amtoshelezi kimapenzi eti....majimaji sana full kuogelea mazee anachoka mwisho wa siku inabidi akajichue kwa sabuni.....siku ya ijumaa mke wake kasafiri kuelekea morogoro kwao na alidai kua atarudi jumatatu ...wakati huwohuwo huyo jamaaangu kunakashori alikapia ndoana humu fb kakanasa kanaitwa.........wakapanga wakutane pande za Stiaz posta siku ya jmosi...siku hiyo ilikua ya furaha kwa jamaa kwanza hakuamini km yule dem anawezakua mzur kiasi kile km tunavyojua mademu wengi wanaweka picha zisizokua za kwao....hivyo bhac jamaa alijiona km kaokota almasi mchangani na akazaidi pale alipomwambia demu juu ya swala la yeye kuja kulala kwa mshkaji kesho yake yaani siku ya j.pila dem akakubali bila kipingamizi!....usiku ule jamaa hakupata usingizi kabisa kutokana na mawazo ...aliwaza sana mpaka ikafikia hatua akaanza kufikiria kwamba ikiwezekana amfukuze mkewe waliotafuta maisha wote amweke ndani yule demu aliyemuona siku moja!..... KOKOLIIKOO!yap kumekucha hivyo jumapili jamaa full kupiga simu mara demu akamwambia atakuja saa kumi na mbili za jion...jamaa alionanimbali sn ilahakua na jinsi ikabidi avumilie...baada ya muda huwe kufika mara jamaa anapokea simu..."NSHAFIKA NIPO HAPA KITUONI"...wewwwweeee jamaa akahisi km anaota vile akajiandaa fastafasta nakwenda kuchukua chombo...walipofika ndani wakaanza kupiga stori na bia mojamoja pembeni mazagazaga ....mara demu siakaanza kurembua!ooo eti amechoka antaka wakapumzike....jamaa fastafasta akambeba mtt na kumpeleka kitandani ...ndipo anakumbuka alipoweka ule mzizi wake alochukua kwa wamaasai akautafuna mara mzuka ukampanda!...akarudi kwenye sita kwa sita akaanza na romance kunyonya midomo akashuka masikioni km tunavyoju a game ya kwanza inavyokua na mbwembwe.,alipomaliza kunyonyo shingo akahamia kifuani napoakaanza kunyonya MARA JAMAA AKAZIMA NA KUPOTEZA FAHAMU...kumbe demu alikuaamejipaka madawa aina ya Kokein baada ya jamaa kuzima yule demu akawapigia cm washkaji zake wakaja na ndinga wakasomba kila kitu ndani...asubuhi ya leo jtatu jamaa anaamka kutoka usingizini anashanga hakuamini macho yk kwanza anajishanga kujikuta amelala juu ya kamkeka yaani wamekomba kila kitu chumba kitupu mara anaona meseji inaingia kwenye cm yake inasema..."NIMEFIKA SALAMA MME WANGU NDO NATOKA UBUNGO .,...NIMEKODI TEX NIMEMWAMBIA TUKIFIKA UTAMLIPA!...aise akahisi kuchanganyikiwa wamemkomba hadi nguo alizokua amevaa wakamuacha na boxer tu simu haina credit anashindwa atatokaje nje..,MADEMU WA FB NOOMMA QQWERR!
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 07:32:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015