DW (Kiswahili) a écrit: Huko Kampala, Uganda marais wa Kanda ya - TopicsExpress



          

DW (Kiswahili) a écrit: Huko Kampala, Uganda marais wa Kanda ya Maziwa Makuu wanaendelea na mkutano wao wa kimataifa kwa ajili ya kutafuta amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Katika mkutano huo ulioitishwa na Rais Yoweri Museveni wa Uganda, na mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa, Mary Robinson, anatarajiwa kuwashinikiza viongozi wa nchi 12 za eneo hilo kurejesha amani mashariki mwa DRC. Mkutano...
Posted on: Thu, 05 Sep 2013 11:27:58 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015