Daah Kukopa bana... Wote tuna matatizo but yanazidiana!! Ivi - TopicsExpress



          

Daah Kukopa bana... Wote tuna matatizo but yanazidiana!! Ivi inakuaje unapokua na shida unaenda kwa ndugu ama rafiki unamweleza shida yako nae kama binadam anaamua akusaidie kwa alichonacho kwa kukukopesha then unamwaidi ntakurudishia cku flan.. Ukitoka apo xaxa unatoka nduki kumpita ata USAIN BOLT duu ukumbuki tena kama alikutatulia shida yako! Au ndo kukopa sherehe kulipa matanga ati? 2badilike bana kuna leo na kesho utakoxa msaada bana... Via: yamentoka...
Posted on: Tue, 15 Oct 2013 08:12:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015