Dah ilikua time fulan za asubuh hivi naenda zangu town kama kawa - TopicsExpress



          

Dah ilikua time fulan za asubuh hivi naenda zangu town kama kawa nimetupia trauza black, shat la dark blue chin kiatu black yaan fully kupendeza nikapanda zangu.haice uyo nikasepa njiani akapanda sista mmoja ivi mrembo sana dah kwa vile gar lilikua kila sit imejaa bas pale nilipokaa kulikua na sit moja imebak ikambid aje akae na mm dah ikawa siyo taabu mie nko socialy siku zote nkaanza kumcheki "hello dada mambo vip ™poa niaje "fresh sana mdada umependeza sanna Unaitwa nan ™ naitwa aysher, asante ata ww umendeza Kimoyomoyo nkasema yes naona anaanza kukubali swagha dah nkaendelea "unaelekea wap dada ningependa tukapate break fast pale leopard hotel ™hapana mie nishakunywa chai kwetu na sorry ninawah kwenye interview Unanipotezea muda "okay bas nipe # ako nitakuchek ™we kaka niache nimekwambia niache nachelewa kazin kwanza unanuka mdomo na mikojo Dah nikaona ishakua soo bora nimwache aende zake Bas mie nkaendelea na mambo yangu Nkaenda piga tea nkarud place niliyokuwa nafanya kazi.kwa muda Dah mambo cyo mambo nilikua nasimamia interview zote pale oficn Kumbe yule dada ameenda kwenye hiyo.oficce niliyokuwa nasimamia hiyo interview dah ikafika zamu yake akaniona mie ndo nasimamia alishtuka sana pale aliponiona mie ndo muhusika mkuu pale akawa anajing"atang"ata kaishiwa cha kuongea maskin Kidogo akapata ujasir fresh akapiga interview akamaliza Ilipofika time yangu kusepa home kama kawa nkatoka nikapanda gar uyooo adi karibu na home nashuka ivi kwa vile cyo mbali kidogo na home nkahisi kuna mtu ananifwata nyuma Nikageuka nakutA ni yule dada ananidwatilia toka kule ofisin Mdada anataka tuwe wapenz na kazi anataka.... Dah nifanyeje na alikua keshanijibu vibaya asubuh.....
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 06:00:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015