Daktari Mkuu wa Hospitali ya CORD Mheshimiwa Raila Odinga akiwa - TopicsExpress



          

Daktari Mkuu wa Hospitali ya CORD Mheshimiwa Raila Odinga akiwa na Naibu wake Kalonzo Musyoka na Karani wake Moses Wetangula...... anawaletea sabuni mpya ya kuosha Mpigs ...iitwayo KEDHI-corded... Iliyo na madini ya Wiper ...Inaondoa madoa sugu ya Nduku,Bangi,Rut o,Duale na hata Kukinga dhidi ya maambukizi ya viini hatari vya ugonjwa wa CHUPILEE...Jiunge naye kesho jumatatu wakiwa na matabibu wengine kama Muthama kuzindua sabuni hii mpya mjini Makueni...USIKOSE!!!....Imejaribiwa na SUPREME COURT na kuidhinishwa na WanaCORD wote Kenya nzima...!!! Like · 50 · Reply · 1 hour ago
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 20:15:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015