Difference kati yetu na nyinyi. - Sisi tulifungwa shati ya - TopicsExpress



          

Difference kati yetu na nyinyi. - Sisi tulifungwa shati ya buda ile mzee,nyinyi mnafungwa pampers.. - Sisi tuliona Arsenal ikishinda Kikombe,nyinyi hamjewai na hamtawai.... - sisi tuliona strike ya adeya,wewe unaona ya sosion. - sisi tulikunywa U.H.T,wewe unakunywa molo milk. - Sisi tulikuwa tunacelebrate walimu wakistrike,nyinyi mnawalilia ati warudi shule...... - sisi tulikunywa tree-top,wewe unakunywa afya. - sisi tulidance kwasa kwasa,wewe unadance Girl a bubble - sisi tulipikiwa na harya,wewe unapikiwa na royco. - Sisi tulikuwa tunaslide kwa nyasi after long call,nyinyi ni matissue paper haha - sisi tulipewa maziwa ya nyayo,wewe unataka lap top - sisi tuliwatch day time movie,wewe unawatch box office. - sisi tuliplay tape,wewe unaplay mem card - sisi tulistore photos kwa ulbum,wewe unastore photos kwa fb. - Sisi tuliandikiana love letters,nyinyi mnangoja kuforward sms - Sisi tuliswim nzoia na nairobi river bila kitu,nyinyi mnaenda pool na manguo - Sisi tulimeza cafenol,nyinyi mnameza sonadol.. - Sisi tulikuwa tunaoshewa nje na mama na gunia alafu tunakaushwa na jua,nyinyi mnaogea kwa shower na kujipanguza na towel.... - Sisi tuliona zidanne akipiga Materrazzi heady,nyinyi mnaringia suarez kuuma Ivanovic mkono. - Sisi tulienda video ya 5bob,nyinyi mnaenda IMAX CINEMA ya 800bob
Posted on: Sun, 30 Jun 2013 06:13:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015