Fursa ya bure ya kuwa mwekezaji kwenye tovuti ya Perfect Internet - TopicsExpress



          

Fursa ya bure ya kuwa mwekezaji kwenye tovuti ya Perfect Internet itaendelea kuwepo mpaka hapo tutakapotangaziwa rasmi kwamba imekoma Fursa ya kukuingizia kipato cha milele kwenye mradi wa Perfect unaoletwa kwenu na Perfect Internet bado inakusubiri. Jiunge bure kwamba utaitumia mobile app inayoitwa Perfect App kwa kuipakia kwenye simu yako ya kuanzia tarehe 01/10/2013. Kuipakia (download) Perfect App kwenye simu zetu ni bure na utaitumia kupata huduma za bure kama kupata habari unazozipendelea wewe, kupata contact za Taxi iliyopo karibu nawe, kufahamishwa kuhusu bidhaa na huduma mbalimbali zilizo karibu nawe kutokana na mapendekezo yako ambazo zinauzwa kwa bei pungufu ukilinganisha na bei ya dukani n.k. Ukishajiunga utapata kiungo chako cha kualikia watu na utaalika watu ambao ndio watakuwa mtaji wako kwenye kugawana faida kwenye mradi huu. Idadi ya watu utakaowaalika na wale watakaoalikwa na watu uliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini ndio itakuwa hisa yako kwenye mradi huu kwenye kugawana mapato. Habari njema ni kwamba fursa hii itaendelea kuwepo mpaka pale Perfect Internet itakapotangaza rasmi kwamba fursa hii imeisha hivyo mda bado unaruhusu kuichangamkia fursa hii adimu. Watumiaji wa Perfect App wataleta traffic kwenye tovuti ya Perfect Internet ambayo itaiwezesha Perfect Internet kuuza matangazo pamoja na deals zingine kwenye internet na hivyo kutengeneza faida ya sisi kugawana. Perfect Internet itatoa 20% ya mauzo kugawana na wanachama wake watakaojiunga kwa kipindi hiki na kuwaalika watu wengine wajiunge mpaka hapo itakapotangazwa rasmi kwamba fursa hii imekoma. Malipo yatafanyika kupitia Debit Cards za kimataifa za Perfect Internet ambapo utaweza kuchukua pesa kutoka kwenye ATMs zilizounganishwa na mtandao wa VISA kama vile CRDB, Citibank, etc Kwa wale ambao bado hawajajiunga na fursa hii, bonyeza kiungo hiki kujiunga goo.gl/MhqS3
Posted on: Sun, 29 Sep 2013 13:58:51 +0000

Trending Topics



div>
John Doe Troubled child in a world gone wild Nowhere to turn
Gaming Industry Economist

Recently Viewed Topics




© 2015