GERALD HANDO ATANGAZA KUTOPIGA WIMBO WA JIKUBALI WA BEN POL - TopicsExpress



          

GERALD HANDO ATANGAZA KUTOPIGA WIMBO WA JIKUBALI WA BEN POL KATIKA KIPINDI CHAKE CHA POWER BREAKFAST Mdakuzi wako leo wakati nasikiliza kipindi cha Power Breakfast, Gerald hando amesema amechukizwa na Mwanamuziki Ben Pol kucopy na Kupaste wimbo wake mpya unaotamba kwa sasa wa JIKUBALI kutoka kwa Wimbo wa Script Feat Wiliam Am unaoitwa Hall of Fame....Gerald Hando aliyasema kuwa hata piga huo wimbo katika kipindi chake cha Power Breakfast...Hii ilikuja baada ya Msikilizaji kuandika Massage akiponda Ben Pol kukopy na kupaste ambapo Gerald nae alikandamizia kwa kumsaport... Je wewe unasemaje kuhusu suala hilo la Ben Pol Kukopy wimbo wa nje na kuubadilisha kuwa wa Kiswahili?
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 10:21:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015