Gud mornin ma gud people,siamini kama hadi leo kuna watu bado - TopicsExpress



          

Gud mornin ma gud people,siamini kama hadi leo kuna watu bado wanasumbuliwa na mapenzi kiasi hiki,nimemkuta jamaa analia akiongea na simu kama amefiwa, aliponiona akauchuna nilivyompita akaendelea kulia akisema "baby bado nakupenda usifanye hivyo", gud morning ma people, siwezi kuamini hadi leo mapenzi ya Amin kwa linah yanamcost huyu jamaa baada ya kuiba nyimbo ya mtu na kumpa linah aimbe, gud mornin ma gud people.
Posted on: Tue, 06 Aug 2013 06:19:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015