HI ADMINI KWA jina naitwa lucy Kwanza nina tatizo la kutokufika - TopicsExpress



          

HI ADMINI KWA jina naitwa lucy Kwanza nina tatizo la kutokufika kilele nimeenda mpk hospital nikachekiwa nikaambiwa sina tatizo ila nikifanya mapenzi ni concentrate. Mimi nimelelewa kwenye familia ya Kikristo sana hadi naanza chuo nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi maana nilijua ni dhambi kubwa sana. Imefika mahali nimekuwa na BF kama watatu lakini sijui raha ya mapenzi mimi. Sasa hivi ninamchumba na kwakweli anajitahidi sana kuniandaa mpk nafika nataka mwenyewe lakini akiingia tu wala sisiskii raha ya aina yoyote saa nyingine inabidi nijifanye nimesikia raha. Huwezi amini tayari nina miaka 32 lakini raha ya mapenzi sijui kabisa kwa kweli naomba msaada, ninajitahidi kuweka akili yangu pale lakini sisikii chochote. Nikashauriwa na mama mmoja nijichezee mwenyewe kwa kweli nilipata raha ya ajabu, hadi inafikia saa nyingine nikiwa peke yangu nikikumbuka naanza kujichezea mwenyewe. tatizo tu mwanaume akiingia sisiskii chochote.
Posted on: Thu, 25 Jul 2013 17:35:37 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015