HII NDIO RED BRIGADE WANAYOITAKA CHADEMA!!!! Kufuatia hatua ya - TopicsExpress



          

HII NDIO RED BRIGADE WANAYOITAKA CHADEMA!!!! Kufuatia hatua ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kuunda kikosi cha kujilinda na kujihami badala ya walinzi wa kawaida wanao ruhusiwa na katiba. Watu wanazungumza tuu, bila ya kufahamu historia halisi ya Red Brigades. Historia na malengo ya kikosi hicho yaliyowahi kutokea sehemu mbalimbali yanayoelezea kikundi hicho. Red Brigaes Inatokana na neno la Kitaliano BRIGATE ROSSE, ambalo lina mrengo wa siasa za Karl Max, lipo huko italia. Kundi hilo lilianzishwa mwaka 1970. Ni kikundi cha cha kijeshi kilicho iondoa Italia kwenye mkataba North Atlantic Organisation. Nyakati zote Kundi hilo lilikuwa linafanya maovu mbali mbali Nchini Italia.
Posted on: Sat, 20 Jul 2013 13:25:08 +0000

Trending Topics



sttext" style="margin-left:0px; min-height:30px;"> We are moving into a bigger theater!!! 426 Seat Theater... Who
For Throwback Thursday - January 1, 1997 By Jimmy

Recently Viewed Topics




© 2015