" HILI ZEE BOYA " Wababa watatu wamekutana bar, baada ya bia - TopicsExpress



          

" HILI ZEE BOYA " Wababa watatu wamekutana bar, baada ya bia kadhaa si wakaanza kuongea kuhusu binti zao,BABA 1: Kuna siku niliingia chumba cha binti yangu nikashanga kukuta kichungi cha sigara wakati najua binti yangu havuti BABA 2: Mi nilikuta chupa tupu ya bia wakati najua binti yangu hanywiBABA 3: Hayo yote tisa, stori yangu ndo ya ajabu sana, mi niliingia chumba cha binti yangu si nikakuta kondom ya kiume wakati yeye mwanamke..
Posted on: Thu, 03 Oct 2013 06:37:07 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015