HUWEZI kuropoka kuwa nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria wakati - TopicsExpress



          

HUWEZI kuropoka kuwa nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria wakati huohuo unahalalisha Polisi kupiga wananchi hovyo hovyo! Huu ni uhuni na utoaji wa kauli kama hizi ni sehemu tu ya uthibitisho kuwa viongozi wetu wanaweza kusema lolote, mahali popote na wakati wowote ule bila uwajibikaji. Kama Waziri Mkuu amendanganyika kuwa hawa Polisi wanaweza kushinda nguvu ya Umma, basi siku inakuja na hakika tutawapimia kipimo kile kile walichotupimia! Ni suala la uwiano tu!
Posted on: Fri, 21 Jun 2013 08:16:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015