Hamjambo wapwani wenzetu na ulimwengu kwa jumla. Tunawaomba radhi - TopicsExpress



          

Hamjambo wapwani wenzetu na ulimwengu kwa jumla. Tunawaomba radhi kwa kimya kirefu kwa sababu zisizoweza kuepukika.Tunadhani mpo imara kama tulivyokuacheni. Tungependa kuchukua fursa hii kuwapasha ya kuwa ile kesi yetu imefanikiwa kupewa tarehe 16/07/2013 na itafanyika kataka mahakama za Malindi. Tunawaomba wale watakao kua na uwezo wahudhurie kuonyesha moyo wa ghera na kuwakilisha wenzetu ambao hawatojaliwa kufika. Hawa jamaa wamechanganyikiwa, cha msingi ni tuwe na subra mwishowe tutafanikiwa kwa uwezo wa Mungu na kujitolea kwetu na jitihada. UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU....Asanteni.
Posted on: Thu, 20 Jun 2013 03:19:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015