Hamnaga kama minanda Tanzania Sauti ya baba J. Wimbo- - TopicsExpress



          

Hamnaga kama minanda Tanzania Sauti ya baba J. Wimbo- Asha Heshima na upole wako Asha/ulinifanya nitoe barua/nia na madhumuni yangu Asha/nilitaka nikuoe/lakini umeniudhi/ ulipoanza kunidharau/ yale niliyokuambia yote/ mwenzangu umeyasahau/ Heshima na upole wako Asha/ulinifanya nitoe barua/nia na madhumuni yangu Asha/ nilitaka nikuoe/lakini umeniudhi Asha/ ulipoanza kunidharau/ yale niliyokuambia yote/ mwenzangu umeyasahau Asha wee ooh. [Sikia] Embu nieleze nilichokukosea/kama barua nimeshatoa/wazazi wako wanaelewa/ ndugu zangu mimi wote wanajuwa/ nakushangaa umenikimbia/hata njiani unaninunia/hata salamu hutaki kunisalimia. Kiitikio Asha nambie kweli kama hunitaki usinitapeli Ashaa nambie kweeli kama hunitaki mimi usinitapeli
Posted on: Sat, 10 Aug 2013 10:48:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015